Yanga yatupwa nje CAF Champions League 2024/2025

Yanga yatupwa nje CAF Champions League 2024/2025
Yanga yatupwa nje CAF Champions League 2024/2025
Klabu ya Young SC imetolewa kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Afrika baada ya kutoka sare ya 0-0 dhidi ya MC Alger, katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Klabu hiyo ilihitaji alama tatu za lazima ili kuweza kuendelea katika hatua ya robo fainali ya CAF Champions League 2024/2025.
MC Alger wanaungana na Al Hilal Omdurman ya Sudan Kufuzu hatua ya Robo Fainali hiyo.
Msimamo wa Kundi A CAF Champions League 2024/2025.
1:Al Hilal SC = 10
2:Mc Alger = 09
3:Yanga SC = 08
4:TP Mazembe = 05
