YANGA Yapangwa Kundi A CAF Champions League 2024/2025

Filed in Michezo by on 08/10/2024 0 Comments
YANGA Yapangwa Kundi A CAF Champions League 2024/2025
YANGA Yapangwa Kundi A CAF Champions League 2024/2025,Kundi la Yanga Klabu Bingwa Afrika 2024/2025, Kundi la Young Africans CAF Champions League 2024, Yanga imepangwa Kundi gani?
Klabu ya Young Africans imepangwa Kundi A CAF Champions League 2024/2025 pamoja na Al Hilal ya Sudan, Mc Alger ya Algeria na TP Mazembe ya DR Congo.
Mechi zitapigwa Kati ya November 26-27, December 6-7, December 13-14, January 3-4 2025, January 10-11 na January 17-18.

Aidha Timu itakayomaliza na pointi nyigi zaidi na itakayoshika nafasi ya pili kila kundi watafuzu hatua inayofuata ya robo Fainali.

YANGA Yapangwa Kundi A CAF Champions League 2024/2025

Droo Kamili ya CAF Champions League 2024/2025.

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Group A:
TP Mazembe – DR Congo.
Young Africans – Tanzania
Al Hilal – Sudan.
MC Alger – Algeria.

Group B:
Mamelodi Sundowns – South Africa.
Raja Club Athletic – Morocco.
AS FAR – Morocco.
AS Maniema – DR Congo.

Group C:
Al Ahly SC – Egypt.
CR Belouizdad – Algeria.
Orlando Pirates – South Africa.
Stade d’Abidjan – Ivory Coast.

Group D:
ES Tunis – Tunisia.
Pyramids FC – Egypt.
GD Segrada Esperance – Angola.
Djoliba AC – Mali.

YANGA Yapangwa Kundi A CAF Champions League 2024/2025

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!