Yanga App Donwload | Donwload App ya Yanga
Yanga App Donwload | Donwload App ya Yanga
Klabu ya Young Africans SC imezindua Application yenye maudhui ya hali ya juu, historia, taarifa, matukio na takwimu za masuala mbalimbali ya klabu hiyo.
Pia Klabu imezindua tovuti rasmi ya Klabu ambayo itawarahisishia Wanachama, Mashabiki na Wapenzi wa Young Africans SC kupata taarifa na maudhui mbalimbali ya Klabu yao.
Pakua na utumie programu rasmi ya Klabu yako.
