WAFUNGAJI Bora NBC Championship 2024/2025
WAFUNGAJI Bora NBC Championship 2024/2025
Orodha ya vinara wa mabao Ligi ya NBC Championship 2024/2025.
Hii ni orodha ya Wachezaji wanaoongoza Kwa mabao NBC Championship hadi November 20-2024.
- Raizin Hafidh – Mtibwa Sugar = 08.
- Abdulaziz Shahame – TMA FC = 08.
- Andrea Simchimba – Geita Gold = 06.
- Said Fundi – Cosmopolitan = 05.
- Naku James – Mbuni FC = 05.
- Cyprian John – Songea United = 04.
- Ramadhan Kipalamoto – Songea United= 04.
- Eliud Ambokile – Mbeya City = 04.
