WAFUNGAJI Bora Ligi Kuu ya NBC 2024/2025

Filed in Michezo by on 29/12/2024
WAFUNGAJI Bora Ligi Kuu ya NBC 2024/2025

WAFUNGAJI Bora Ligi Kuu ya NBC 2024/2025

WAFUNGAJI Bora Ligi Kuu ya NBC 2024/2025, Kupitia Makala hii utapata orodha ya Wachezaji wanaoongoza Kwa Ufungaji Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC Premier League 2024/2025).

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Wachezaji wanaoongoza Kwa magoli Ligi Kuu ya NBC, Wachezaji wanaoongoza Kwa mabao NBC Premier League 2024/2025 wameorodheshwa hapa chini.

Hapa chini tumekuwekea Orodha Kamili ya Wachezaji wanaoongoza Kwa Ufungaji Ligi Kuu ya NBC 2024/2025 hadi tarehe 29 December 2024.

  1. Elvis Rupia – Singida Black Stars = 08.
  2. Jean Charles Ahoua – Simba SC = 07.
  3. Seleman Mwalimu – Fountain Gate = 06.
  4. Clement Mzize – Yanga SC = 06.
  5. Peter Lwasa – Kagera Sugar = 05.
  6. William Edgar – Fountain Gate = 05.
  7. Leonel Ateba – Simba SC = 05.
  8. Prince Dube – Yanga SC = 05.
  9. Pacome Zouzoua – Young Africans = 05.
  10. Paul Peter – Dodoma Jiji FC = 04.
  11. Steven Mukwala – Simba SC = 04.
  12. Offen Chikola – Tabora United = 04.
  13. Yacouba Songne – Tabora United = 04.
  14. Feisal Salum – Azam FC = 04.
  15. Nassor Saadun – Azam FC = 04.
  16. Maabad Maulid – Coastal Union = 04.
  17. Heritier Makambo – Tabora United = 04.
  18. Marouf Tshakei – Singida Black Stars – 04.
  19. Ibrahim Abdallah – Yanga SC = 04.
  20. Idd Nado – Azam FC = 04.
  21. Max Nzengeli – Yanga SC = 03.
  22. Salum Kihimbwa – Fountain Gate = 03.
  23. Joshua Ibrahim – KenGold FC = 03.
  24. Elie Makono – Fountain Gate = 03
  25. Mishamo Daudi – KenGold FC = 03.
  26. Gibril Sillah – Azam FC = 03.
  27. Hubert Lukindo – KenGold FC = 03.
  28. Emmanuel Keyekeh – Singida Black Stars = 02.
  29. Nicolas Gyan – Fountain Gate = 02.
  30. Crispin Ngushi – Mashujaa FC = 02.
  31. Redemtus Mussa – KMC FC = 02.
  32. William Edger – Fountain Gate = 02.
  33. Valentino Mashaka – Simba SC = 02.
  34. Richard Ulomi – Mashujaa FC = 02.
  35. Kassimu Suleiman – Fountain Gate = 02.
  36. Erasto Nyoni – Namungo FC = 02.
  37. Lusajo Mwaikenda – Azam FC = 02.
  38. Hernest Malonga – Coastal Union = 02.
  39. John Bocco – JKT Tanzania = 02.
  40. Dickson Ambundo – Fountain Gate = 02.
  41. Ismaili Mgunda – Mashujaa FC = 02.
  42. Che Fondoh Malone – Simba SC = 02.
  43. Daruweshi Saliboko – KMC FC = 02
  44. Josephat Bada – Singida Black Stars = 02.
  45. Morice Chuku – Tabora United = 02.
  46. Salehe Masoud – Pamba Jiji = 02.
  47. Zidane Sereri – Dodoma Jiji = 02.
  48. Awesu Awesu – Simba SC = 02.
  49. Edwin Balua – Simba SC = 02.
  50. Abdallah Hassan – Coastal Union = 02.
  51. Antony Trabi – Singida Black Stars = 02.
  52. Jhonier Blanco – Azam FC = 02
  53. Joshua Ibrahim – KenGold FC = 02.
  54. Kennedy Musonda – Yanga SC = 02.
  55. Shomari Kapombe – Simba SC = 02.
  56. Fabrice Ngoma – Simba SC = 02.
  57. Said Ndemla – JKT Tanzania = 02.
  58. Stephen Aziz Ki – Yanga SC = 02.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Tags:

Comments are closed.

error: Content is protected !!