VITU vya Muhimu kwenda navyo kwenye Usaili Kada ya Ualimu

VITU vya Muhimu kwenda navyo kwenye Usaili Kada ya Ualimu
VITU vya Muhimu kwenda navyo kwenye Usaili Kada ya Ualimu
Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma, imebainisha vitu vya muhimu ambavyo watu walioitwa kwenye usaili Katika Kada ya Ualimu wanapaswa kwenda navyo.
Aidha usaili wa Ualimu utafanyika kuanzia tarehe 14 Januari hadi terehe 24 Februari, 2025 na kwamba usaili huo utaendeshwa na Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais (UTUMISHI), Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wizara ya Afya, Tume ya Utumishi wa Walimu pamoja na Ofisi za Wakuu wa Mikoa yote na wataalamu mbalimbali kutoka katika Taasisi za Umma.
Angalia hapa: Orodha ya Vituo vya Kufanyia Usaili Ajira za Walimu Mikoa yote
Usaili huo una lengo la kujaza nafasi elfu kumi na nne mia sita na arobaini na nane (14,648) zilizotolewa na Mheshimiwa Rais kwa lengo la kupunguza uhaba wa walimu nchini.
Kupitia Utumishi vitu vya muhimu kwenda navyo kwenye Usaili Kada ya Ualimu ni kama inavyoongezeka hapa chini kwenye Picha;

VITU vya Muhimu kwenda navyo kwenye Usaili Kada ya Ualimu

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Tags: VITU vya Muhimu kwenda navyo kwenye Usaili Kada ya Ualimu