VINARA wa Assist Ligi Kuu ya NBC 2024/2025

Filed in Michezo by on 21/12/2024

VINARA wa Assist Ligi Kuu ya NBC 2024/2025VINARA wa Assist Ligi Kuu ya NBC 2024/2025

Wachezaji Wanaoongoza Kwa Assist NBC Premier League 2024/25, Katika Makala hii ya Nijuze Habari tumekuandalia orodha ya Wachezaji wanaoongoza kwa kutoa pasi zinazozaa mabao (Assists).

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Orodha Kamili ya Wachezaji wanaoongoza Kwa kutoa pasi za mabao (assist) tazama hapa chini;

  1. Feisal Salum – Azam FC = 9.
  2. Salum Kihimbwa – Fountain Gate = 05.
  3. Jean Charles Ahoua – Simba SC = 5.
  4. Joseph Bada – Singida Black Stars = 04.
  5. Stephen Aziz Ki – Yanga SC = 4.
  6. Pacome Zouzoua – Yanga SC = 4.
  7. Ladack Chasambi – Simba SC = 3.
  8. Mohamed Hussein – Simba SC = 3.
  9. Ande Koffi – Singida Black Stars = 3.
  10. Yacoube Sogne – Tabora United = 03.
  11. Heritier Makambo – Tabora United = 03.
  12. Salehe Masoud – Pamba Jiji = 03.
  13. Ismaili Mgunda – Mashujaa FC = 03.
  14. Banele JR Sikhondze – Tabora United = 03
  15. Emmanuel Kwame Keyekeh – Singida Black – 03.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Tags:

Comments are closed.

error: Content is protected !!