VILABU Bora Afrika 2024/2025 CAF Club Ranking
VILABU Bora Afrika 2024/2025 (CAF Club Ranking)VILABU Bora Afrika 2024/2025 CAF Club Ranking
Baada ya kukamilika Makundi ya CAF Champions League na CAF Confederation Cup msimu wa 2024/2025, hii hapa ni orodha mpya ya Vilabu Bora Barani Afrika.
Hii ni orodha ya Klabu zilizofanya vizuri kipindi cha miaka mitano (5) ambapo takwimu hizi zitatumika Kwa msimu wa 2025/2026.
Katika orodha hii mpya Simba SC ya Tanzania imepanda nafasi moja kutoka nafasi ya 7 hadi ya 6 baada ya kutinga robo Fainali ikimshusha RS Berkane.
Pia Young Africans imesogea hadi nafasi ya 10 kutoka ya 13 baada ya kumaliza Makundi nafasi ya tatu, ikizishusha klabu za Raja Casablanca, Tp Mazembe na Petro Atletico.
NB: endapo Simba ikifanikiwa kutinga Nusu Fainali itaishusha Wydad Casablanca na kusogea hadi nafasi ya 5 Afrika.
Orodha Kamili ya Vilabu 30 Bora msimu wa 2024/25 Kwa mujibu wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) ni kama ifuatavyo;
- Al Ahly SC – Egypt = 73.
- Espérance de Tunis – Tunisia = 57
- Mamelodi – South Africa = 52.
- Zamalek SC – Egypt = 42.
- Wydad Athletic – Morocco = 39.
- Simba SC – Tanzania = 38.
- USM Alger – Algeria = 37.
- RS Berkane – Morocco = 37.
- CR Belouizdad – Algeria = 36.
- Young Africans – Tanzania = 34.
- ASEC Mimosas – Ivory Coast = 33.
- Al Hilal Omdurman – Sudan = 32
- Pyramids FC – Egypt = 32.
- TP Mazembe – DR Congo = 30.5
- Raja Casablanca – Morocco = 30.
- Petro de Luanda – Angola = 27
- Orlando Pirates – South Africa = 25
- AS FAR Rabat – Morocco = 21
- MC Alger – Algeria = 18
- Sagrada Esperanca – Angola = 16
- Al Masry – Egypt = 14
- Rivers United – Nigeria = 14
- JS Kabylie – Algeria = 13
- Dreams FC – Ghana = 12
- Stade Malien – Mali = 10.5
- CS Constantine = Algeria = 10
- Stellenbosch FC = South Africa = 10
- Horoya Athletic Club – Guinea = 10
- Future FC – Egypt = 9.5
- Etoile Sahel – Tunisia = 9

VILABU Bora Afrika 2024/2025 CAF Club Ranking
