VIINGILIO Simba vs CS Constantine tarehe 19 January 2025

VIINGILIO Simba vs CS Constantine tarehe 19 January 2025
VIINGILIO Simba vs CS Constantine tarehe 19 January 2025
Klabu ya Simba SC imepania kupata ushindi mnono katika mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Constantine, mchezo utakaopigwa kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Jijini Dar Es Salaam Jumapili ya January 19, 2025.
Ili kufanisha hilo Simba imewaomba mashabiki wake kujaza uwanja wa Benjamin Mkapa katika mchezo huo wa kupigania nafasi ya kumaliza wakiwa kinara wa kundi A.
Klabu hiyo imetangaza viingilio vya mchezo huo ambapo tayari tiketi zinapatikana kupitia mitandao ya simu.
Viingilio hivo ni Tsh 5,000 kwa Mzunguko, Tsh 10,000 kwa Viti vya rangi ya Machungwa, VIP C itakuwa Tsh 15,000 na VIP B itakuwa Tsh 20,000.
Viingilio vingine ni Tsh 30,000 kwa VIP A, Tsh 150,000 kwa Platinum na kwa upande wa Tanzanite itakuwa 250,000.

VIINGILIO Simba vs CS Constantine tarehe 19 January 2025

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Tags: VIINGILIO Simba vs CS Constantine tarehe 19 January 2025