TOP Clean Sheets NBC Premier League 2024/2025

TOP Clean Sheets NBC Premier League 2024/2025
Magolikipa Wanaoongoza Kwa Clean Sheets NBC Premier League 2024/2025, Top Assist NBC Premier League 2024/25, Katika Makala hii ya Nijuze Habari tumekuandalia orodha ya Magolikipa wanaoongoza kwa kutoruhusu magoli.
Orodha Kamili ya Magolikipa wanaoongoza Kwa kutoruhusu magoli (Clean Sheets) tazama hapa chini;
- Moussa Camara – Simba SC = 12.
- Patrick Muthali – Mashujaa FC – 08.
- Djigui Diarra – Yanga SC = 07.
- Metacha Mnata – Singida Black Stars = 07.
- Mohamed Mustapha – Azam FC = 06.
- Mussa Mbisa – Tanzania Prisons = 04.
- Zuberi Foba – Azam FC = 04.
- Ngeleka Katumbua – Dodoma Jiji = 04.
- Denis Donis – JKT Tanzania = 03.
- Fabien Mutombora – KMC FC = 03.
Yona Amosi – Pamba Jiji = 03. - Aboutwalib Mshery – Yanga SC = 03.
