Timu Zilizofuzu Makundi CAF Champions League 2024/2025

Filed in Michezo by on 23/09/2024 0 Comments

Timu Zilizofuzu Makundi CAF Champions League 2024/2025Timu Zilizofuzu Makundi CAF Champions League 2024/2025

Klabu ya Young Africans imefanikiwa wamefuzu hatua ya Makundi ya CAF Champions League 2024/2025 baada ya ushindi wa mabao 6-0 dhidi CBE SA (Commercial Bank of Ethiopia Sports Association) ya Ethiopia.
Kwa matokeo hayo, Young Africans inafuzu hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika kwa ushindi wa jumla wa 7-0 kufuatia ushindi wa bao 1 – 0 kwenye mchezo wa kwanza uliofanyika kwenye wa Uwanja wa Abebe Bikila Jijini Addis Ababa, Ethiopia.
Orodha Kamili ya timu Zilizofuzu hatua ya Makundi CAF Champions League 2024/2025.
  1. Young Africans – Tanzania.
  2. TP Mazembe – DR Congo.
  3. AS Maniema Union – DR Congo.
  4. Mamelodi Sundowns – South Africa.
  5. Orlando Pirates – South Africa.
  6. Al Ahly SC – Egypt.
  7. Esperance de Tunis – Tunisia.
  8. Pyramids FC – Egypt.
  9. Raja Casablanca – Morocco.
  10. MC Alger – Algeria.
  11. Sagrada Esperanca – Angola.
  12. Djoliba AC de Bamako – Mali.
  13. Stade D’abidjan – Ivory Coast.
  14. AS FAR Rabat – Morocco.
  15. Al Hilal SC – Sudan.
  16. CR Belouizdad – Algeria.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!