TIMU ambazo Simba inaweza Kukutana nazo Robo Fainali CAF Confederation Cup 2024/2025

TIMU ambazo Simba inaweza Kukutana nazo Robo Fainali CAF Confederation Cup 2024/2025
TIMU ambazo Simba inaweza Kukutana nazo Robo Fainali CAF Confederation Cup 2024/2025
Mechi za Makundi Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup 2024/2025) zimehitimishwa jana na sasa kinachosubiriwa ni droo ya hatua ya robo Fainali.
Klabu ya Simba itaendelea kupeperusha bendera ya Tanzania Katika hatua ya Robo Fainali baada ya kuongoza kundi A ikiungana na timu RS Berkane ya Morocco, Zamalek ya Misri pamoja na USM Alger ya Algeria kama vinara wa Makundi A, B, C na D.

TIMU ambazo Simba inaweza Kukutana nazo Robo Fainali CAF Confederation Cup 2024/2025
Timu zilizofuzu katika nafasi ya pili ni CS Constantine ya Algeria, ASEC Mimosasya Ivory Coast, Stellen Bosch ya Afrika Kusini na Al Masry ya Misri.
Katika droo ya robo Fainali Simba itapangwa dhidi ya timu moja miongoni mwa tatu zilizomaliza nafasi ya pili katika kundi B,C na D ambazo ni Stellenbosch, ASEC Mimosas au Al Masry.
Mechi za Robo Fainali zinatarajiwa kupigwa mwezi March na habari njema Kwa Simba ni kuwa itaanzia ugenini na kumalizia nyumbani baada ya kuongoza Kundi.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Tags: TIMU ambazo Simba inaweza Kukutana nazo Robo Fainali CAF Confederation Cup 2024/2025