TIMU 24 Zilizofuzu AFCON 2025
TIMU 24 Zilizofuzu AFCON 2025
Michezo ya kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) nchini Morocco imehitimishwa jana November 19, 2024, ambapo timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) miongoni mwa timu 24 zilizofuzu ni Mashindano hayo.
Tanzania imefuzu michuano hiyo ikiwa ni mara ya nne baada ya kufanya hivyo mwaka 1980, 2019 na 2023.
AFCON 2025 ambayo itakuwa ya 35 tangu ianzishwe mwaka 1957, inatarajiwa kuchezwa nchini Morocco kuanzia December 21, 2025 hadi January 18, 2026 huku viwanja sita vilivyopo kwenye Majiji sita vikitumika.
Hapa chini tumekuwekea orodha ya timu 24 zilizofuzu michuano hiyo.
1:Morocco
2:Algeria
3:Egypt
4:Cote D’Ivoire
5:South Africa
6:Zimbabwe
7:Comoros
8:Tanzania
9:Mali
10:Burkina Faso
11:DR Congo
12:Angola
13:Gabon
14:Tunisia
15:Zambia
16:Sudan
17:Botswana
18:Cameroon
19:Senegal
20:Equatorial Guinea
21:Uganda
22:Nigeria
23:Benin
24:Mozambique
