TANZIA: Mzee King Kikii (Kitambaa Cheupe) Afariki Dunia
TANZIA: Mzee King Kikii (Kitambaa Cheupe) Afariki Dunia
Mwanamuziki mkongwe, Boniface Kikumbi Mwanza Mpango (King Kikii) amefariki dunia.
King Kiii ambaye ameugua kwa muda mrefu, amefariki usiku wa kuamkia leo November 15,2024 katika Hospital ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa.
Mzee King Kikii atakumbukwa kwa wimbo wake uliotamba zaidi hata sasa wa Kitambaa Cheupe.
Pumzika kwa amani Mzee wa Kitambaa Cheupe King Kikii.
Nijuze Habari tunawapa pole familia ya Mzee King Kikii, Mungu awe faraja yenu Kwa kipindi hiki kigumu.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Tags: TANZIA: Mzee King Kikii (Kitambaa Cheupe) Afariki Dunia