Tanzania Yaiwinda DR Congo Kufuzu AFCON 2025

Filed in Michezo by on 06/10/2024 0 Comments
Tanzania Yaiwinda DR Congo Kufuzu AFCON 2025

Tanzania Yaiwinda DR Congo Kufuzu AFCON 2025

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imeanza mazoezi kujiandaa na michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025 nchini Morocco dhidi ya DR Congo itakayochezwa tarehe 10 October na tarehe 15 October 2024.
Mechi ya kwanza itapigwa DR Congo October 10, huku mchezo wa marudiano kupigwa ukitarajiwa kuchezwa kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar Es Salaam October 15,2024.
Aidha DR Congo ndio Vinara wa kundi H wakishinda mechi zao zote mbili, ikiwa na Pointi sita huku Tanzania ikifuatia Katika nafasi ya pili ikishinda mechi moja na kutoka sare mara moja ikiwa na Pointi 4.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!