TANGAZO la Eneo la Usaili wa Vitendo na Mahojiano Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI).
TANGAZO LA ENEO LA USAILI WA VITENDO NA MAHOJIANO TAASISI YA MIFUPA MUHIMBILI (MOI).
Wasailiwa wa nafasi mbalimbali katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) mnajulishwa kuwa, usaili wa vitendo na mahojiano wa tarehe 5 na 6 Disemba, 2024 utafanyika katika ukumbi wa MOI Phase III uliopo jengo jipya la MOI.
Tags: TANGAZO la Eneo la Usaili wa Vitendo na Mahojiano Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI).