SIMBA Yapangwa Kundi A CAF Confederation Cup 2024/2025

Klabu ya Simba SC imepangwa Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika CAF Confederation Cup 2024/2025 pamoja na CS Sfaxien ya Tunisia, CS Constantine ya Algeria pamoja na Bravos do Maquis ya Angola.

Droo Kamili ya hatua ya Makundi CAF Confederation Cup 2024/2025.
Group A:
Simba SC – Tanzania.
CS Sfaxien – Tunisia.
CS Constantine – Algeria.
FC Bravos do Maquis – Angola.
Group B:
RS Berkane – Morocco.
Stade Malien – Mali.
Stellenbosch FC – South Africa.
C.D. Lunda Sul – Angola.
Group C:
USM Alger – Algeria.
ASEC Mimosas – Ivory Coast.
ASC Jaraaf – Senegal.
Orapa United – Botswana.
Group D:
Zamalek SC – Egypt.
Al Masry – Egypt.
Enyimba FC – Nigeria
Black Bulls – Mozambique.


JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Tags: SIMBA Yapangwa Kundi A CAF Confederation Cup 2024/2025