Simba ya 3 Kwa Wafuasi Wengi Afrika
Simba ya 3 Kwa Wafuasi Wengi Afrika
Klabu ya Simba SC ndiyo klabu ya tatu Afrika na ya kwanza Tanzania kwa kuwa na Wafuasi wengi kwenye mitandao ya kijamii.
Kwa mujibu wa African Facts Zone wametoa takwimu ya Vilabu Afrika vyenye idadi kubwa ya wafuasi kwenye mitandao ya kijamii na orodha ni kama ifuatavyo;
1. Al Ahly (68.7 million followers)
2. Zamalek (20.6 million)
3. Simba SC (13.6 million)
4. Raja Casablanca (12.7M)
5. Kaizer Chiefs (8.9M)
6. Orlando Pirates (7.1M)
7. Young Africans SC (6.4M)
8. Wydad Casablanca (5.8M)
9. Mamelodi Sundowns (5.6M)
10. Pyramids FC (4.9M)
11. Esperance de Tunis (4.4M)
