Simba App | Donwlod App ya Simba

Filed in Michezo by on 13/09/2024 0 Comments

Simba App | Donwlod App ya SimbaSimba App | Donwlod App ya Simba

Klabu ya Simba SC imezindua Application ya Mabingwa yenye maudhui ya hali ya juu, historia, matukio ya habari na takwimu za mambo mbalimbali ya klabu yetu.

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Simba App ni jukwaa la kidijitali linalowaleta pamoja mashabiki wa Simba Sports Club, wafuasi na jumuiya ya soka kwa ujumla.

Katika Simba App Utapata habari za kipekee, kuwasiliana na mashabiki wengine na kuchangia kujenga mustakabali bora wa Tanzania na soka la Afrika.

Simba SC imezindua Programu mpya ya Simu ya Mkononi ya Simba App ambayo sasa inapatikana kwenye play store kwa Mtumiaji wa android na App store kwa watumiaji wa iPhone.

Pakua na utumie programu rasmi ya Klabu yako.

Download Simba SC App

Kwa kutumia Simba Application unaweza kupata taarifa mbalimbali za klabu kila siku zinapochapishwa.

Lakini pia Simba Sc wana tovuti yao rasmi ya www.simbasc.co.tz iliyozinduliwa mwanzoni mwa mwaka huu.

Jinsi ya Kudownload Simba App


JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!