SIFA za Mgombea Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024
SIFA za Mgombea Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024
- Awe raia wa Tanzania
- Awe na umri wa miaka 21 au zaidi.
- Awe na uwezo wa kusoma na kuandika Kiswahili au Kiingereza
- Awe na shughuli halali ya kumwezesha kuishi
- Awe mkazi wa eneo la kitongoji
- Awe Mwanachama wa Chama Cha Siasa na amedhaminiwa na Chama.
- Awe na akili timamu
