SIFA za Kujiunga na Jeshi la Uhamiaji

Filed in Makala by on 30/11/2024 0 Comments
SIFA za Kujiunga na Jeshi la UhamiajiSIFA za Kujiunga na Jeshi la Uhamiaji

Vigezo vya Kujiunga na Jeshi la Uhamiaji, Kazi za askari wa uhamiaji, Sifa Za kujiunga NA JESHI LA Uhamiaji, Sifa za kujiunga na Chuo cha Uhamiaji, Vigezo vya ajira za uhamiaji, Chuo cha uhamiaji tanga, Tangazo la AJIRA UHAMIAJI, Chuo cha mafunzo ya Uhamiaji.

Sifa Za Mwombaji

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA
  1. Awe ni raia wa Tanzania;
  2. Awe hana ajira au hajawahi kuajiriwa na Taasisi yoyote Serikalini;
  3. Awe na Cheti cha Kuzaliwa;
  4. Awe na Kitambulisho cha Taifa au Namba ya Utambulisho iliyotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA);
  5. Awe na siha njema ya mwili na akili.
  6. Awe hajawahi kutumia Dawa za kulevya;
  7. Asiwe na kumbukumbu au Taarifa zozote za kuhusika katika masuala au matukio ya uhalifu au jinai;
    Asiwe na alama yoyote au michoro (Tatoo) katika mwili wake;
  8. Awe hajaoa au kuolewa wala kuwa na mtoto;
  9. Mwombaji mwenye Elimu ya Kidato cha Nne awe na umri kuanzia miaka 18 hadi miaka 22, Mwombaji mwenye Elimu ya Kidato cha Sita na Stashahada awe na umri kuanzia miaka 18 hadi miaka 25 na Mwombaji mwenye Elimu ya Shahada/ Stashahada ya Juu awe na umri kuanzia miaka 18 hadi miaka 30.
  10. Awe tayari kufanya kazi za Idara ya Uhamiaji mahali popote Tanzania.
  11. Awe tayari kujigharimia katika hatua zote za ufuatiliaji na uendeshwaji wa zoezi la Ajira.

Majukumu ya msingi ya Idara ya Uhamiaji na Huduma;

  • Kuhakikisha usalama wa taifa unaendelea kwa kudhibiti uhamiaji.
  • kuwapatia raia waaminifu pasi za kusafiria na aina nyinginezo za hati za kusafiria.
  • Kuwapatia raia wa kigeni ambao wanaishi nchini humo vibali vya kuishi nchini na vibali vya kuingia.
  • Ili kurahisisha watu kuingia na kuondoka nchini na kufuatilia vyema wale wanaofanya hivyo.
  • Kwa madhumuni ya kuratibu na kuwezesha maombi ya uraia wa Tanzania.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!