SHULE 10 Bora Kwa GPA Matokeo ya Kidato Cha Nne 2024

SHULE 10 Bora Kwa GPA Matokeo ya Kidato Cha Nne 2024
SHULE 10 Bora Kwa GPA Matokeo ya Kidato Cha Nne 2024
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika kuanzia November 11 hadi 29, 2024 huku matokeo ya wanafunzi 67 wakiwemo watano walioandika matusi yakifutwa.
Matokeo hayo yametangazwa Alhamisi Januari 23, 2025 na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Said Mohammed jijini Dar es Salaam, huku Shule 10 Kwa ubora wa GPA Kitaita 2024 zikitajwa.
MATOKEO Kidato Cha Nne 2024
Orodha Kamili ya Shule 10 Bora Mtihani wa Kidato Cha Nne 2024 ni kama ifuatavyo;
- St. Francis Girls’ Secondary school = Wanafunzi 91 Daraja I, GPA 1,0259.
- Canossa Secondary School = Wanafunzi 89 Daraja 1, GPA 1,0693.
- Tengeru Boys’ Secondary school = Wanafunzi 129 Daraja I, GPA 1,0899.
- Kibaha Secondary School = Wanafunzi 102 Daraja I, GPA 1,1478.
- Precious Blood Secondary school = Wanafunzi 82 Daraja I, GPA 1,1524.
- Ahava Secondary School = Wanafunzi 82 Daraja I, GPA 1,1732.
- Feza Boys’ Secondary School – Wanafunzi 62 Daraja I, GPA 1,1738.
- Kemebos Secondary School = Wanafunzi 70 Daraja I, GPA 1,1754.
- Ahmes Secondary School = Wanafunzi 49 Daraja I, GPA 1,1887.
- Bethel SABS Girls’ Secondary school = Wanafunzi 86 Daraja I, GPA 1,1918.
