SERENGETI GIRLS MABINGWA UNAF

Filed in Michezo by on 08/09/2024 0 Comments

SERENGETI GIRLS MABINGWA UNAF

TIMU ya taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Girls jana ilifanikiwa kutwaa ubingwa wa michuano ya Kaskazini mwa Afrika (UNAF) licha ya sare ya bila kufungana na wenyeji, Tunisia Uwanja wa Ariana.

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Serengeti Girls inakamilisha mechi zake bila kupoteza, kufuatia kumaliza mechi zake tatu bila kupoteza, ikishinda mbili za awali 4-1 dhidi ya Misri na 5-3 dhidi ya Morocco hapo hapo Uwanja wa Ariana na wanatwaa taji hilo kwa wastani mzuri wa mabao baada ya kufungana kwa pointi na Tunisia.


JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!