SAMPLE YA WA BARUA YA KUOMBA AJIRA ZA WALIMU 2024
SAMPLE YA WA BARUA YA KUOMBA AJIRA ZA WALIMU 2024
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa ametangaza nafasi mpya za Ajira za Walimu 2024.
Katibu huyo amekaribisha Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi hizo kama ilivyoainishwa katika
tangazo hili. Ajira Mpya 3632 za Walimu Kutoka Mikoa Mbalimbali December 2024
Kutokana na Tangazo hilo la Ajira za Walimu 2024, hii hapa Mfano wa Barua ya Maombi ya Ajira Za Walimu Kupitia (UTUMISHI) Ajira Portal 2024.
Moja ya vitu vya msingi mwombaji wa Ajira ya Walimu ni kuzingatia katika uandishi wa Barua ya kuomba kazi.
Hii hapa ni mfano wa muundo sahihi juu ya uandishi wa Barua ya Maombi ya kazi ya walimu 2024/2025.
Mambo ya Msingi katika Uandishi wa Barua ya Ajira ya Walimu 2024
- Anwani ya mwandishi
- Anwani ya mwandikiwa
- Kichwa Cha Barua(dhumuni mahususi)
- Shina la barua, hapa utaandika kulingana na kichwa Cha Barua, ukigusia jina lako,umri, kiwango chako Cha elimu na uzoefu wako kwa kifupi zaidi.
Ili kuandika barua nzuri ya maombi ya Ajira za Walimu, anza kwa kuweka mapendeleo ya salamu na utangulizi.
