SAMPLE ya Barua ya Maombi ya Ajira JWTZ

Filed in Makala by on 20/09/2024 0 Comments
SAMPLE ya Barua ya Maombi ya Ajira JWTZSAMPLE ya Barua ya Maombi ya Ajira JWTZ

Barua ya Kuomba Kazi Jeshini, Barua ya Kuomba Kujiunga na JWTZ, Mfano wa Barua ya Kujiunga na Jeshi la JWTZ, Mfano wa Barua ya Maombi Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania JWTZ.

July 30-2024 Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania JWTZ lilitangaza nafasi za kuandikishwa Jeshini kwa vijana wa kitanzania wenye Elimu ya kidato cha nne na kidato cha sita.

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kupitia Makala hii utapata Mfano/ Sample ya Barua ya Kutuma Maombi Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania JWTZ.

Aidha, uandikishaji unahusisha vijana waliopo katika makambi ya Jeshi la Kujenga Taifa ‘Operesheni Jenerali Venance Mabeyo’ na waliomaliza mkataba ambao wamefanya mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa Sheria na kwa Mkataba wa kujitolea.


JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!