RATIBA YA UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA 2024/2025 MZUNGUKO WA TANO

Filed in Habari by on 13/09/2024 0 Comments
RATIBA YA UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA 2024/2025 MZUNGUKO WA TANO

RATIBA YA UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA 2024/2025 MZUNGUKO WA TANO

Pichani ni Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa (Mst) Mbarouk Salim Mbarouk ambapo leo tarehe 13 Septemba, 2024 amefungua mkutano wa wadau wa Uchaguzi mkoani Dodoma.
Kwenye mkutano huo mada mbalimbali ziliwasilishwa ikiwa ni pamoja na mada ya Mkurugenzi wa Uchaguzi ambayo iliwasilishwa na Kaimu Mkurugenzi wa Uchaguzi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Huduma za Kisheria, Bw. Selemani Mtibora.
RATIBA YA UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA 2024/2025 MZUNGUKO WA TANO

Mkutano huo ni wa maandalizi ya mzunguko wa tano wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ambao utajumuisha mkoa wa Dodoma katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Halmashauri za Wilaya ya Bahi, Chamwino na Kongwa.

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA
Mzunguko wa tano pia unauhusisha mkoa wa Manyara katika Halmashauri ya Mji wa Mbulu na Wilaya ya Kiteto na Simanjiro.
Pia mkoa wa Singida ambapo uboreshaji utaanza tarehe 25 Septemba, 2024 hadi tarehe 01 Oktoba, 2024 na vituo vitakuwa vinafunguliwa kuanzia saa 2:00 asubuhi na kufungwa saa 12:00 jioni.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!