RATIBA ya Tanzania Kufuzu AFCON 2025

Filed in Michezo by on 10/11/2024 0 Comments

RATIBA ya Tanzania Kufuzu AFCON 2025Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kinaendelea na maandalizi kwaajili ya mechi mbili za kuwania tiketi ya kufuzu michuano ya AFCON 2025 itakayofanyika nchini Morocco.

Tanzania ipo kundi H ikiwa pamoja na DR Congo, Ethiopia pamoja na Guinea.

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Katika mechi mbili za kwanza Tanzania itacheza na Ethiopia Katika mchezo wa Kwanza Septemba 04 katika uwanja wa Benjamin Mkapa Kuanzia Saa 1:00 Usiku.

Baada ya mechi hiyo Tanzania itasafiri hadi nchini Guinea kwaajili ya mchezo wa pili utakaopigwa Septemba 10-2024.

Viingilio vya mchezo dhidi ya Ethiopia ni Tsh 2,000 Kwa Mzunguko na 5,000 Kwa VIP B na C.

Ratiba Kamili ya Tanzania Kufuzu AFCON 2025

Septemba 4, 2024 – Tanzania vs Ethiopia
Septemba 10, 2024 – Guinea vs Tanzania
Oktoba 10, 2024 – DR Congo vs Tanzania
Oktoba 15, 2024 – Tanzania vs DR Congo
Novemba 16, 2024 – Ethiopia vs Tanzania
Novemba 19, 2024 – Tanzania vs Guinea


JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!