RATIBA ya Mechi Yanga SC CAF Champions League 2024/2025
RATIBA ya Mechi Yanga SC CAF Champions League 2024/2025, Ratiba ya Mechi za Young Africans CAF Champions League 2024/2025, Ratiba ya Mechi za Yanga Klabu Bingwa Afrika hatua ya Makundi 2024/2025.
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limepanga hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, huku Young Africans ikipangwa Kundi A pamoja na TP Mazembe ya DR Congo, Al Hilal ya Sudan na MC Alger ya Algeria.
Michezo ya hatua hiyo ya Makundi inatarajiwa kuanza November 26, 2024, Young Africans ikiwa nyumbani kuikaribisha Al Hilal huku TP Mazembe ikiikaribisha MC Alger.
Ratiba Kamili ya mechi za Yanga SC CAF Champions League hatua ya Makundi 2024/2025.
November 26-2024
Young Africans vs Al Hilal Sudan.
December 07-2024
MC Alger vs Young Africans.
December 14-2024
TP Mazembe vs Young Africans.
January 04-2025
Young Africans vs TP Mazembe
January 12-2025
Young Africans vs Al Hilal Sudan
January 18-2025
Young Africans vs MC Alger

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Tags: RATIBA ya Mechi Yanga SC CAF Champions League 2024/2025