RATIBA Mpya ya Ligi Kuu ya NBC 2024/2025

RATIBA Mpya ya Ligi Kuu ya NBC 2024/2025
RATIBA Mpya ya Ligi Kuu ya NBC 2024/2025
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza Maboresho ya Ligi Kuu ya NBC 2024/2025
Michezo ya Ligi Kuu ya NBC sasa itarejea February 01, 2025 kwa michezo ya ‘viporo’ kabla ya kuendelea na michezo ya mzunguko wa 17.
Kwa mujibu wa ratiba mpya iliyotolewa na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania February 01,2025 utapigwa mchezo mmoja wa kiporo kati ya Yanga SC dhidi ya Kagera Sugar katika dimba la KMC Complex, Mwenge Dar es Salaam.
Februari 2, 2025 utashudiwa mchezo mwingine mmoja wa kiporo kati ya Tabora United dhidi ya Simba SC katika dimba la Ali Hassan Mwinyi lililopo mjini Tabora.
RATIBA Mpya Kamili ya Ligi Kuu ya NBC 2024/2025 imeambatanishwa hapa chini!
