RAIS Samia Afanya Uteuzi Mpya
RAIS Samia Afanya Uteuzi Mpya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya Uteuzi mpya jwa kummteua Balozi Dkt. Mpoki Ulisubisya kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOl).
Pia Rais Dkt.Samia amemteua Joyce Gideon Mapunjo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) akichukua nafasi ya Mhandisi Musa lyombe ambaye amemaliza muda wake.

RAIS Samia Afanya Uteuzi Mpya
