Rais Dkt.Mwinyi Afanya Mabadiliko na Kuteua
Rais Dkt.Mwinyi Afanya Mabadiliko na Kuteua
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi amefanya Mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Kumteua Naibu Katibu Mkuu.
Hayo ni kwa Mujibu wa taarifa iliyotolewa Novemba 19,2024 na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Zanzibar, Mhandisi Zena Ahmed Said.
Mabadiliko na Uteuzi huo ni kama ifuatavyo hapa chini;

Rais Dkt.Mwinyi Afanya Mabadiliko na Kuteua