PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT (PSRS) TANZANIA
Ajira Portal, Jisajili na Utume Maombi ya Kazi za Serikali, Ajira Portal ni jukwaa rasmi la uajiri la Serikali ya Tanzania linalosimamiwa na Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS).
Mfumo huu unawawezesha wananchi nchini Tanzania kutuma maombi ya kazi serikalini kwa urahisi, hapa kuna maelezo yatakayokusaidia katika Kujisajili kwenye tovuti ya (Ajira Portal).
Ajira Portal ni nini? Ajira Portal ni mfumo wa mtandaoni ambao wanaotafuta kazi huunganisha na nafasi za kazi za serikalini.
Ajira Portal inaendeshwa na Sekretariat ya Ajira (PSRS), jukwaa hili linafaa kuleta uwazi kutoka kwa mfumo wa kuajiri katika sekta mbalimbali za umma.
Tovuti hii huwawezesha wanaotafuta kazi kutazama na kutuma maombi ya kazi, na unaweza kufanya hivo kwa kufuata viunganishi hapa chini.
- Ajira Portal registration Click here
- Recruitment portal login click here
- Recruitment portal click here
- Ajira portal login click here
- public service recruitment secretariat (psrs) Login click here
- Public service recruitment secretariat news update click here
- Public Service Recruitment Secretariat address click here

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Tags: PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT (PSRS) TANZANIA