Pilato Kariakoo Derby huyu hapa

Filed in Michezo by on 18/10/2024 0 Comments
Pilato Kariakoo Derby huyu hapa

Pilato Kariakoo Derby huyu hapa

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imemtangaza mwamuzi Ramadhan Kayoko kutoka Jijini Dar es Salaam kuwa ndiye refa atakayesimamia sheria 17 za mchezo unaowakutanisha watani wa Jadi Simba na Yanga kesho Jumamosi tarehe 19 Oktoba 2024 kwenye Kariakoo Derby.

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA
Pilato Kariakoo Derby huyu hapa

Kayoko atasaidiwa na Mohamed Mkono kutoka Tanga na Kassim Mpanga kutoka Dar es Salaam pia, huku mwamuzi wa akiba akiwa ni Tatu Malogo.

Mechi hiyo itapigwa saa 11:00 jioni na update zote zitakuwa LIVE hapa Nijuze Habari.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!