NECTA: ADA ZA USAJILI WA KAWAIDA NA USAJILI KWA KUCHELEWA PAMOJA NA ADHABU
Aina ya mtihani | Vipindi vya Usajili | |
---|---|---|
Usajili wa kawaida | Usajili kwa kuchelewa pamoja na adhabu | |
Cheti cha mtihani wa msingi. | 1 Januari – 28 Februari | HAKUNA |
Mtihani wa Maarifa | 1 Januari – 28 Februari | 1 Machi – 31 Machi |
Mtihani wa Kidato cha Nne | 1 Januari – 28 Februari | 1 Machi – 31 Machi |
Mtihani wa Kidato cha Sita | 1 Julai – 30 Septemba | 1 Oktoba – 31 Oktoba |
Mtihani wa Ualimu Ngazi ya Cheti daraja A | 1 Julai – 30 Septemba | 1 Oktoba – 31Oktoba |
Stashahada katika Mtihani wa Elimu ya Sekondari | 1 Julai – 30 Septemba | 1 Oktoba – 31 Oktoba |
Ada za Usajili
Aina ya mtihani | Ada za Usajili | |
---|---|---|
Usajili wa kawaida | Usajili kwa kuchelewa pamoja na adhabu | |
Cheti cha mtihani wa msingi. (Mfumo wa lugha ya kiingereza.) | TZS. 15,000 | HAKUNA |
Mtihani wa Maarifa | TZS. 30,000 | TZS. 40,000 |
Mtihani wa Kidato cha Nne | TZS. 50,000 | TZS. 65,000 |
Mtihani wa Kidato cha Sita | TZS. 50,000 | TZS. 65,000 |
Mtihani wa Ualimu Ngazi ya Cheti daraja A | TZS. 50,000 | TZS. 65,000 |
Stashahada katika Mtihani wa Elimu ya Sekondari | TZS. 50,000 | TZS. 65,000 |
ZINGATIA: Ada hizo hapo juu zinatumika kwa tarehe maalum katika vipindi vya usajili.
Aidha NECTA ina akaunti za benki zifuatazo ambazo zinaweza kutumika kulipia ada.
Kumbuka kutunza risiti yako ya malipo ya benki hadi utakapothibitisha na NECTA kuhusu malipo yako.
ZINGATIA: Private Candidates are supposed to pay their registration fees at Tanzania Posts Corporation (POSTA)
Na. | Jina la benki | Jina la akaunti | Namba ya akaunti | Sarafu | Aina ya malipo |
---|---|---|---|---|---|
1. | Benki ya NMB-Bank House. | NECTA Reccurent Revenue Account | 2011100238 | TZS | Ada ya mtihani |
2. | Benki ya NBC- Tawi la Corporate | Baraza la Mitihani la Tanzania. | 011103001074 | TZS | Ada ya mtihani |
3. | Benki ya CRDB-Tawi la Kijitonyama | Baraza la Mitihani la Tanzania. | 01J1013540000 | TZS | Ada ya mtihani |
4. | Benki CRDB-Tawi la Tower. | Baraza la Mitihani la Tanzania. | 03J1042982300 | GBP (£) | Ada ya mtihani (Bodi za nje) |
