NAFASI za Walimu Moonshine Training Institute (MTI) November 2024

Filed in Ajira by on 09/11/2024 0 Comments

NAFASI za Walimu Moonshine Training Institute (MTI) November 2024NAFASI za Walimu Moonshine Training Institute (MTI) November 2024

Moonshine Training institute ni taasisi ya Elimu iliopo Wilaya ya Ngara Mkoa wa Kagera, inatoa mafunzo mbalimbali kwa Ngazi ya Astashahada pamoja na stashahada.

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Moonshine inapenda kutangaza nafasi mbili za mwalimu wa Masomo ya Secretarial Course.

Mwalimu anatakiwa awe na Sifa zifauatazo;

  • Awe na Ordinary diploma in secterial studies kutoka chuo kinacho tambuliwa na serikali.
  • Awe na uzoefu wa kufundisha masomo ya Secretary studies ngazi ya NVA LEVE 1 to 3 angalau mwaka mmoja.
  • Awe na Overall GPA ya 3.8 and above.
  • Akiwa wa kike atapewa kipao mbele

Mwisho wa kuomba ni tarehe 12 November 2024.

Maombi yatumwe kwa;
Mkuu wa chuo
Moonshine training institute
P o box 80,
K9,Lukole Ngara Kagera

Kupitia emails
admnmoonshine@gmail.com
Pamoja na directormoonshine@gmail.com
Au kwa WhatsApp +255758421849


JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!