NAFASI za Kazi Zanajira Zanzibar

Filed in Ajira by on 16/01/2025 0 Comments
NAFASI za Kazi Zanajira Zanzibar

NAFASI za Kazi Zanajira Zanzibar

NAFASI za Kazi Zanajira Zanzibar

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Tume ya Utumishi wa Umma ni taasisi huru tangu ilipoanzishwa mwaka 1986 chini ya Sheria ya Tume ya Utumishi wa Umma namba 14 ya mwaka 1986 na Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984.

Kwa mujibu wa Kifungu cha 3 (1) cha Sheria ya Tume ya Utumishi wa Umma namba 14 ya mwaka 1986, Tume hiyo ilikuwa na Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na Wajumbe watano ambao waliteuliwa na Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. .

Tume kwa wakati huo ilikuwa inatekeleza majukumu yake kama ilivyoainishwa katika Sheria ya Tume ya Utumishi wa Umma namba 14 ya mwaka 1986 na ilikuwa na jukumu la kuwasimamia Watumishi wa Umma.

Miongoni mwa majukumu yake ni kusimamia taaluma za watumishi, uthibitishaji wa watumishi, kuongeza muda wa utumishi, kustaafu, kupandisha vyeo n.k.

Tume hiyo Kwa Sasa inatangaza nafasi za Ajira Kwa watu wenye sifa stahiki kama ilivyoanishwa hapa chini!

Nafasi Zote za Ajira Kutoka Zanajira Bofya Hapa


JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!