NAFASI za Kazi Yas Tanzania Limited
NAFASI za Kazi Yas Tanzania Limited
Yas ambayo zamani ilikuwa Tigo ni kampuni ya mawasiliano nchini Tanzania.
Ikiwa na zaidi ya watumiaji milioni 13.5 waliojisajili kwenye mtandao wake, Yas inaajiri moja kwa moja na kwa njia zisizo za moja kwa moja zaidi ya Watanzania 300,000, ikiwa ni pamoja na mtandao mpana wa wawakilishi wa huduma kwa wateja, wafanyabiashara wa pesa za simu, mawakala wa mauzo na wasambazaji.
Yas ni chapa kubwa zaidi ya kibiashara ya Axian Telecom, kampuni ya pan-Afriacan inayofanya biashara katika nchi 5 zenye shughuli za kibiashara nchini Madagaska, Comoro, Senegal, Togo na Tanzania.
Kampuni hiyo inakaribisha watu wenye sifa stahiki kuomba nafasi za Ajira zilizotangazwa hapa chini.
Kwa maelezo zaidi kuhusu nafasi hizi za Ajira zilizotangazwa na jinsi ya kutuma maombi, tafadhali bonyeza link iliyoambatanishwa hapa chini!
