NAFASI Za Kazi Watu Simu Kagera

NAFASI Za Kazi Watu Simu Kagera
NAFASI Za Kazi Watu Simu Kagera
Kampuni ya Watu Simu ambayo inatoa mikopo nafuu na rahisi, kwa aina mbalimbali za simu janja ndani ya soko la Tanzania inatangaza nafasi za Ajira kwa watu wenye sifa stahiki.
Kampuni hiyo kupitia tawi lake la Bukoba/Rwamishenye inahitaji Vijana wa Kuuza Simu za Mikopo Katika Mkoa wa Kagera.

NAFASI Za Kazi Watu Simu Kagera
Wilaya ambazo tunahitaji Vijana ni Karagwe, Kyerwa, Bukoba Manispaa, Bukoba Vijijini, Missenyi pamoja na Muleba.
SIFA ZA MWOMBAJI
- Vijana wa Kike na wa Kiume
- Awe na umri kuanzia miaka 18.
- Awe na Smartphone
- Awe na namba ya NIDA au Kitambulisho Cha NIDA
Tuma Maombi kwenye WhatsApp namba 255756658100

can help me to get job