NAFASI Za Kazi SOS Children’s Villages Tanzania

NAFASI Za Kazi SOS Children’s Villages Tanzania
NAFASI Za Kazi SOS Children’s Villages Tanzania
SOS Children’s Villages Tanzania ni shirika la ndani lisilo la kiserikali na lisilo la kimadhehebu linaloshirikiana na SOS Children’s Villages International.
Hili Shirika la kimataifa la kutunza watoto linafanya kazi ya kulinda na kutunza watoto waliopoteza huduma ya wazazi au wako katika hatari ya kuipoteza.
Shirika hilo lilianzishwa miaka 74 iliyopita, SOS inafanya kazi katika nchi 185, ikiwa na programu katika Zanzibar, Arusha, Dar es Salaam, Mwanza, na Iringa tangu 1981.
Maadili yao ya msingi ni pamoja na ujasiri, kujitolea, uaminifu, na uwajibikaji, unaozingatia uvumbuzi na ushirikiano mzuri na washirika.
SOS Children’s Villages Tanzania kwa sasa inatafuta watu wenye sifa zinazofaa kujaza nafasi zifuatazo zilizoachwa wazi hapa chini;
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA TANGAZO

Naomba kujua
Mwisho wa kutuma maombi ni lini, na anuani ya sos children’s village tanzania
Download PDF ya Tangazo mbona maelezo yote yapo
I am interest
Thank for choose me
YES
Than so much