NAFASI za Kazi Kutoka Pamba Jiji FC
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza anapenda kuwatangazia Watanzania wenye sifa nafasi 1 ya ajira ya Mtendaji Mkuu (CEO) wa Timu ya Pamba jiji (FC) yenye makao yake Jijini Mwanza.
Sifa za Mwombaji Nafasi ya Mtendaji Mkuu (CEO)
- Awe na shahada au Diploma ya Juu katika kozi ya michezo.
- Awe na ujuzi katika lugha ya Kiswahili na Kingereza.
- Awe na cheti cha FIFA Transfer Matching System(TMS).
- Awe na ujuzi katika Uendeshaji wa akaunti za Kijamii.
- Awe na uzoefu zaidi ya miaka (3) katika kazi ya Katibu Mtendaji.
- Awe na ujuzi utaalamu wa kutumia Computer.
- Awe na ujuzi uwelewa kuhusiana na CAF Club Licensing Regulation.
Jinsi ya Kutuma Maombi
Tuma CV kupitia Barua pepe:

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Post Views: 80