NAFASI ZA KAZI KUSIMAMIA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA SERENGETI DISTRICT COUNCIL
- Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi ngazi ya Kituo
- Afisa Mwandikishaji wa Wapiga kura
- Asiwe na dhamana au Uongozi katika chama chochote cha siasa
- Awe ni Mtumishi katika Utumishi wa Umma (Public Service) Awe mwadilifu
- Barua zote ziandikwe kwa mkono
- Barua iandikwe majina kamili yanayotumika katika Utumishi Barua itaje nafasi ya kazi unayoomba
- Barua itaje kituo cha kazi
- Barua itaje Cheo katika Utumishi wa Umma
- Barua iwe na anuani kamili ikiwa na namba ya simu inayopatikana wakati wote
- Barua iambatishwe na maelezo binafsi (CV)
- Barua ziwasilishwe kwa mkono masijala ya wazi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Serengeti
Barua iandikwe kwa:-Msimamizi wa Uchaguzi, Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti, S.L.P 176, MUGUMU-SERENGETI.
