NAFASI ZA KAZI GEITA DISTRICT COUNCIL

Filed in Ajira by on 06/09/2024 0 Comments
NAFASI ZA KAZI GEITA DISTRICT COUNCIL

NAFASI ZA KAZI GEITA DISTRICT COUNCIL

Mkurugenzi Mtendaji amepata kibali cha ajira mpya kwa mwaka wa fedha 2023/2024 chenye Kumb. Na. FA. 97/288/01/09 cha tarehe 25/06/2024, kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Kufuatia Kibali hicho Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita anakaribisha maombi kwa watanzania wenye sifa za kujaza nafasi za kazi 12 zifuatazo:-
POST: DEREVA DARAJA II – 6 POST
Employer: Halmashauri ya Wilaya ya Geita
More Details
2024-09-19
 Login to Apply
POST: MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II – 4 POST
Employer: Halmashauri ya Wilaya ya Geita
More Details
2024-09-19
 Login to Apply
POST: MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II – 2 POST
Employer: Halmashauri ya Wilaya ya Geita
More Details
2024-09-19
 Login to Apply

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!