NAFASI 73 za Kazi Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo Ya Makazi

Filed in Ajira by on 08/12/2024

NAFASI 73 za Kazi Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo Ya MakaziNAFASI 73 za Kazi Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo Ya Makazi

Wizara ya Ardhi ilianzishwa kama idara ya Ardhi na baadae kubadilishwa na kuwa Wizara kamilia mbayo ilibadilisha jina lake kulingana na majukumu ndani ya kipindi hicho mahususi. Jina la sasa ni Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambazo zinajumuisha idara kuu za Kisekta ambazo ni : Utawala wa Ardhi, Upimaji na Ramani, Mipango ya Makazi. Sehemu kuu za Kisekta ni Usajili wa Majina, Uthamini wa Mali na Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya.

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Mbali na hilo, Wizara ina idara na vitengo mbalimbali vinavyosaidia kuongeza ufanisi wa kazi kama vile; Utawala ma Usimamizi wa Rasilimali Watu, Fedha na Hesabu, Ukaguzi wa ndani, Huduma za Kisheria, Sera na Mipango, Taarifa Mawasiliano na Teknolojia (TEHAMA), Habari – Elimu naM. mawasiliano na Usimamizi wa Ununuzi.

✅MKUFUNZI MSAIDIZI WA ARDHI (CARTOGRAPHER) – NAFASI 2.

MAJUKUMU YA KAZI

  • Kusimamia kazi za vitendo na mazoezi (Studio Work);
  • Kuelekeza wanachuo katika masuala ya utafiti, semina na ushauri
  • Kutunza vifaa vya Kufundishia.

SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa wenye Stahahada ya kawaida katika fani ya Urasimu Ramani, wenye GPA kuanzia 4.0 na kuendelea kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali

NGAZI YA MSHAHARA: Kwa kuzingatia ngazi ya mishahara ya Serikali TGS D.

✅MKUFUNZI MSAIDIZI WA ARDHI (LAND MANAGEMENT, EVALUATION AND REGISTRATION) – NAFASI 2.

MAJUKUMU YA KAZI

  • Kusimamia kazi za vitendo na mazoezi (Studio Work);
  • Kuelekeza wanachuo katika masuala ya utafiti, semina na ushauri
  • Kutunza vifaa vya Kufundishia.

SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa wenye Stashahada ya kawaida katika fani ya Land Management and Evaluation, wenye GPA kuanzia 4.0 na kuendelea kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

NGAZI YA MSHAHARA: Kwa kuzingatia ngazi ya mishahara ya Serikali TGS D.

✅MKUFUNZI MSAIDIZI WA ARDHI – GEOGRAPHICAL INFORMATION SYSTEMS (GIS) – NAFASI 1

MAJUKUMU YA KAZI

  • Kusimamia kazi za vitendo na mazoezi (Studio Work);
  • Kuelekeza wanachuo katika masuala ya utafiti, semina na ushauri
  • Kutunza vifaa vya Kufundishia.

SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa wenye Stashahada ya kawaida katika fani ya Geographical Information System (GIS) au Geoinformatics, wenye GPA kuanzia 4.0 na kuendelea kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

NGAZI YA MSHAHARA: Kwa kuzingatia ngazi ya mishahara ya Serikali TGS D.

✅MKUFUNZI MSAIDIZI WA ARDHI –(GRAPHICS ARTS AND PRINTING) -NAFASI 2

MAJUKUMU YA KAZI

  • Kusimamia kazi za vitendo na mazoezi (Studio Work);
  • Kuelekeza wanachuo katika masuala ya utafiti, semina na ushauri
  • Kutunza vifaa vya Kufundishia.

SIFA ZA MWOMBAJI

Kuajiriwa wenye Stashahada ya kawaida katika fani ya Graphics Arts and Printing, wenye GPA kuanzia 4.0 na kuendelea kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

NGAZI YA MSHAHARA: Kwa kuzingatia ngazi ya mishahara ya Serikali TGS D.

✅MKUFUNZI MSAIDIZI WA ARDHI – (LAND SURVEYOR) – NAFASI 1

MAJUKUMU YA KAZI

  • Kusimamia kazi za vitendo na mazoezi (Studio Work);
  • Kuelekeza wanachuo katika masuala ya utafiti, semina na ushauri
  • Kutunza vifaa vya Kufundishia.

SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa wenye Stashahada ya kawaida katika fani ya Upimaji Ardhi (Geomatics), wenye GPA kuanzia 4.0 na kuendelea kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

NGAZI YA MSHAHARA: Kwa kuzingatia ngazi ya mishahara ya Serikali TGS D.

✅MKUFUNZI ARDHI II – (LAND MANAGEMENT EVALUATION) – NAFASI 4

MAJUKUMU YA KAZI

  • Kufundisha.
  • Kutoa ushauri kwa wanachuo katika kazi maalum (Projects).
  • Kusimamia na kuongoza wanachuo katika kazi za darasani na nje.
  • Kutoa ushauri wa kiufundi na kitaalam.
  • Kuendesha tafiti na ushauri.
  • Kuandaa taarifa za tathmini na mapedekezo ya mitaala ya masomo.

SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa wenye Shahada/Stashahada ya juu katika fani ya Usimamizi wa Ardhi, Uthamini na Usajili, wenye GPA kuanzia 3.5 na kuendelea kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

NGAZI YA MSHAHARA: Kwa kuzingatia ngazi ya mishahara ya Serikali TGS E.

✅MKUFUNZI ARDHI II – (GEOGRAPHICAL INFORMATION SYSTEMS ) – NAFASI 2

MAJUKUMU YA KAZI

  • Kufundisha.
  • Kutoa ushauri kwa wanachuo katika kazi maalum (Projects).
  • Kusimamia na kuongoza wanachuo katika kazi za darasani na nje.
  • Kutoa ushauri wa kiufundi na kitaalam.
  • Kuendesha tafiti na ushauri.
  • Kuandaa taarifa za tathmini na mapedekezo ya mitaala ya masomo.

SIFA ZA MWOMBAJI

Kuajiriwa wenye Shahada/Stashahada ya juu katika fani ya Geographical Information System(GIS) au Geoinformatics, wenye GPA kuanzia 3.5 na kuendelea kutoka katika vyuo
vinavyotambuliwa na Serikali.

NGAZI YA MSHAHARA: Kwa kuzingatia ngazi ya mishahara ya Serikali TGS E.

✅MKUFUNZI ARDHI II – (LAND SURVEYOR ) – NAFASI 1

MAJUKUMU YA KAZI

  • Kufundisha.
  • Kutoa ushauri kwa wanachuo katika kazi maalum (Projects).
  • Kusimamia na kuongoza wanachuo katika kazi za darasani na nje.
  • Kutoa ushauri wa kiufundi na kitaalam.
  • Kuendesha tafiti na ushauri.
  • Kuandaa taarifa za tathmini na mapedekezo ya mitaala ya masomo.

SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa wenye Shahada/Stashahada ya juu katika fani ya Upimaji Ardhi, wenye GPA kuanzia 3.5 na kuendelea kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

NGAZI YA MSHAHARA: Kwa kuzingatia ngazi ya mishahara ya Serikali TGS E.

✅MKUFUNZI ARDHI II – (GRAPHICS ARTS AND PRINTING ) – NAFASI 2

MAJUKUMU YA KAZI

  • Kufundisha.
  • Kutoa ushauri kwa wanachuo katika kazi maalum (Projects).
  • Kusimamia na kuongoza wanachuo katika kazi za darasani na nje.
  • Kutoa ushauri wa kiufundi na kitaalam.
  • Kuendesha tafiti na ushauri.
  • Kuandaa taarifa za tathmini na mapedekezo ya mitaala ya masomo.

SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa wenye Shahada/Stashahada ya juu katika fani ya Fine Arts and Design, au Fine Art and Performing Arts, wenye GPA kuanzia 3.5 na kuendelea kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

NGAZI YA MSHAHARA: Kwa kuzingatia ngazi ya mishahara ya Serikali TGS E.

  • ✅MKUFUNZI II – (LAND-REAL ESTATE FINANCE AND INVESTMENT ) – NAFASI 1

MAJUKUMU YA KAZI

  • Kufundisha.
  • Kutoa ushauri kwa wanachuo katika kazi maalum (Projects).
  • Kusimamia na kuongoza wanachuo katika kazi za darasani na nje.
  • Kutoa ushauri wa kiufundi na kitaalam.
  • Kuendesha tafiti na ushauri.
  • Kuandaa taarifa za tathmini na mapedekezo ya mitaala ya masomo.

SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa wenye Shahada/Stashahada ya juu katika fani ya Real Estate Finance and Investment, wenye GPA kuanzia 3.5 na kuendelea kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

NGAZI YA MSHAHARA: Kwa kuzingatia ngazi ya mishahara ya Serikali TGS E.

✅MKUFUNZI II – (GRAPHICS AND DESIGN) – NAFASI 1

MAJUKUMU YA KAZI

  • Kufundisha.
  • Kutoa ushauri kwa wanachuo katika kazi maalum (Projects).
  • Kusimamia na kuongoza wanachuo katika kazi za darasani na nje.
  • Kutoa ushauri wa kiufundi na kitaalam.
  • Kuendesha tafiti na ushauri.
  • Kuandaa taarifa za tathmini na mapedekezo ya mitaala ya masomo.

SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa wenye Shahada/Stashahada ya juu katika fani ya Graphics Design, wenye GPA kuanzia 3.5 na kuendelea kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

NGAZI YA MSHAHARA: Kwa kuzingatia ngazi ya mishahara ya Serikali TGS E.

✅MKUFUNZI II – (ENVIRONMENTAL MANAGEMENT) ) – NAFASI 1

MAJUKUMU YA KAZI

  • Kufundisha.
  • Kutoa ushauri kwa wanachuo katika kazi maalum (Projects).
  • Kusimamia na kuongoza wanachuo katika kazi za darasani na nje.
  • Kutoa ushauri wa kiufundi na kitaalam.
  • Kuendesha tafiti na ushauri.
  • Kuandaa taarifa za tathmini na mapedekezo ya mitaala ya masomo.

SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa wenye Shahada/Stashahada ya juu katika fani ya Environmental Management and Planning, wenye GPA kuanzia 3.5 na kuendelea kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

NGAZI YA MSHAHARA: Kwa kuzingatia ngazi ya mishahara ya Serikali TGS E.

✅MKUFUNZI II – (ARCHITECT) – NAFASI 1

MAJUKUMU YA KAZI

  • Kufundisha.
  • Kutoa ushauri kwa wanachuo katika kazi maalum (Projects).
  • Kusimamia na kuongoza wanachuo katika kazi za darasani na nje.
  • Kutoa ushauri wa kiufundi na kitaalam.
  • Kuendesha tafiti na ushauri.
  • Kuandaa taarifa za tathmini na mapedekezo ya mitaala ya masomo.

SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa wenye Shahada/Stashahada ya juu katika fani ya Usanifu Majengo (Architect), wenye GPA kuanzia 3.5 na kuendelea kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

NGAZI YA MSHAHARA: Kwa kuzingatia ngazi ya mishahara ya Serikali TGS E.

✅AFISA ARDHI II (LAND OFFICER II)- NAFASI 10

MAJUKUMU YA KAZI

  • Kusimamia uingizaji wa kumbukumbu katika Kompyuta.
  • Kushughulikia utayarishaji wa nyaraka za kisheria
  • Kufanya ukaguzi wa viwanja
  • Kutoa notisi na kupendekeza ubadilishaji wa milki kwa viwanja visivyoendelezwa kwa
    mujibu wa sheria.
  • Kuwasiliana na wateja kuhusu hati zilizotayarishwa na kuwakabidhi.

SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa wenye shahada/stashahada ya juu katika fani ya Usimamizi wa ardhi na
Uthamini au shahada ya Sheria kutoka vyuo vinavotambuliwa na Serikali.

NGAZI YA MSHAHARA: Kwa kuzingatia ngazi ya mishahara ya Serikali TGS E.

✅FUNDI SANIFU II – UPIMAJI ARDHI (LAND TECHNICIAN SURVEY II)- NAFASI 26

MAJUKUMU YA KAZI

  • Kupanga na kuandaa mahitaji ya kambi za upimaji vifaa vya upimajoi na mahitaji ya
    jumla
  • Kufanya upimaji wa awali na kusimika ardhini alama za upimaji
  • Kufanya upimaji na kukusanya taarifa na takwimu zote za upimaji
  • Kuchora “Sketch” ya mchoro ya upimaji
  • Kufanya mahesabu ya upimaji

SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa wenye stashahada ya kawaida katika fani ya Upimaji wa ardhi kutoka vyuo vinavotambuliwa na Serikali.

NGAZI YA MSHAHARA Kwa kuzingatia ngazi ya mishahara ya Serikali TGS C.

✅AFISA RAMANI II (MAPPING OFFICER II) – NAFASI 8

MMAJUKUMU YA KAZI

  • Kuwianisha picha za anga na Ramani.
  • Kuweka kumbukumbu za picha na Ramani zilizowianishwa.
  • Kutoa huduma kwa wateja na watafiti mbalimbali

SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa wenye Shahada /Stashahada ya juu katika fani ya Upimaji Picha
(Photogrammentry) kutoka Vyuo Vikuu au Taasisi nyingine zinazotambuliwa na Serikali.

NGAZI YA MSHAHARA: Kwa kuzingatia ngazi ya mishahara ya Serikali TGS E.

✅AFISA USAJILI MSAIDIZI II ( REGISTRATION ASSISTANT II) – NAFASI 8

MAJUKUMU YA KAZI

  • Kupokea na kuingiza kumbukumbu za hati katika kompyuta.
  • Kufungua majalada ya hati mpya.
  • Kupokea maombi na kutayarisha taarifa za uchunguzi wa hati (Search Report).
  • Kufunga hati zilizokamilika (Binding) na kuziwasilisha masjala.

SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa wenye cheti cha Uthamini na Usimamizi wa Ardhi kutoka vyuo
vinavyotambuliwa na Serikali.

NGAZI YA MSHAHARA: Kwa kuzingatia ngazi ya mishahara ya Serikali TGS B.

MASHARTI YA JUMLA

  • Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na wenye umri usiozidi miaka 45.
  • Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa.
  • Waombaji wenye ulemavu wanahamasishwa kutuma maombi yao na kuainisha vizuri
    kwenye dirisha la maombi uelemavu walionao kwa ajili ya utambuzi kwa Sekretarieti ya Ajira;
  • Waombaji ambao tayari ni watumishi wa Umma na wamejipatia sifa za kuingilia katika kada tofauti na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za kazi kwa Waajiri wao na Waajiri wajiridhishe ipasavyo.Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
  • Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, maelezo, nakala za vyeti vilivyithibitishwa na
    Mwanasheria/Wakili ambavyo ni vyeti vya kidato cha nne na kidato cha sita kwa wale waliofikia
    kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika.
    – Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates.
    – Cheti cha mtihani wa kidato cha IV na VI Computer Certificate – Vyeti vya kitaaluma (Professional certificates from respective boards)
  • Testmonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
  • Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU, NECTA na NACTE).
  • Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wana
    kibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.
  • Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika Utumishi wa
    umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika Waraka Na CAC. 45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba, 2010.
  • Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kugushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.

Muhimu: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu.
anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa;
KATIBU, OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
S.L.P. 2320 DODOMA.

Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (Recruitment Portal) kupitia anuani ifuatayo;http://portal.ajira.go.tz/ (Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya
Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa ‘Recruitment Portal’)

Maombi yatakayowasilishwa nje ya utaratibu ulioainishwa katika tangazo hili HAYATAFIKIRIWA.

Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 17th Desemba, 2024.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags: ,

Comments are closed.

error: Content is protected !!