NAFASI 60 za Kazi Kada ya Afya Jimbo Kuu Katoliki La Mbeya
NAFASI 60 za Kazi Kada ya Afya Jimbo Kuu Katoliki La Mbeya
Ajira za Madaktari, Maafisa Wauguzi, Matatibu, Wauguzi, Mteknolojia wa Afya Maabara, Wasaidizi wa Afya, Mteknolojia Msaidizi wa Dawa, Mteknolojia wa Afya Dawa na Mteknolojia wa Afya Msaidizi Maabara Kutoka Jimbo Kuu Katoliki La Mbeya.
Jimbo Kuu Katoliki la Mbeya linamiliki na kuendesha taasisi za Afya katika
Mikoa ya Mbeya na Songwe.
Jimbo hilo linayo furaha kutangaza nafasi za kazi kwa watanzania wote wenye sifa stahiki zilizoanishwa hapa chini watakao fanya kazi katika Vituo vifuatavyo;
- Kituo cha Afya Chitete
- Kituo cha Afya Kisa
- Zahanati za Bara na Songwe.
✅DAKTARI DARAJA LA II – NAFASI 3
SIFA ZA KUAJIRIWA
Kuajiriwa wenye Shahada ya Udaktari kutoka Vyuo Vikuu/Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali waliomaliza “Internship” na kupata usajili kutoka Baraza la Madaktari Tanganyika (Medical Council of Tanganyika).
KAZI NA MAJUKUMU
- Kufanya kazi zote za matibabu hospitalini zinazohusiana na magonjwa mbalimbali yakiwemo magonjwa ya watoto, magonjwa ya akina mama na upasuaji wa kawaida na wa dharura.
- Kutoa na kusimamia elimu ya afya pamoja na kuboresha afya ya jamii
katika Wilaya na Mikoa au eneo lake la kazi. - Kuchunguza, kufuatilia na kuzuia milipuko ya magonjwa
- Kutunza takwimu na kuzitumia kama inavyoelekezwa katika misingi ya MTUHA.
- Kupanga na kutathimini huduma za afya katika eneo lake la kazi.
- Kufundisha wanafunzi na watumishi waliopo kwenye eneo la kazi
- Kusimamia na kuelekeza wafanyakazi walio chini yake
- Kubuni na kuendesha utafiti na kusambaza matokeo
- Kubuni na kutayarisha mikakati ya kuinua ubora wa huduma ya fani yake
- Kuandaa mipango na makisio ya bajeti ya huduma za afya
- Kushiriki, kuhakiki na kuboresha huduma za afya (medical audit and
quality improvement) - Kutoa huduma za outreach katika eneo ambalo kituo chake kinahudumia
- Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake
✅DAKTARI MSAIDIZI – NAFASI 2
SIFA ZA KUAJIRIWA
Kuajiriwa wenye Stashahada ya juu ya Tiba/Tiba ya meno kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali walio na leseni ya kufanya kazi kutoka Baraza la
Madaktari Tanganyika.
KAZI NA MAJUKUMU
- Kutambua matatizo ya wagonjwa na kutoa huduma za tiba, kinga na
huduma kwa kina mama na watoto - Kufanya upasuaji wa dharura na wa kawaida
- Kupanga, kutekeleza na kutathimini huduma za afya sehemu zao za kazi
- Kupanga utekelezaji wa mipango ya kukabili majanga na dharura
mbalimbali - Kufanya utafiti katika maeneo mbalimbali ya afya ili kuboresha utoaji huduma
- Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
✅TABIBU DARAJA II – NAFASI 3
SIFA ZA KUAJIRIWA
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne/sita wenye Stashahada ya Tabibu ya
muda wa miaka mitatu kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali
KAZI NA MAJUKUMU
- Kutoa huduma za Kinga na Tiba
- Kutambua na kutibu magonjwa ya kawaida
- Kutoa huduma ya Afya ya msingi (Primary Health Care)
- Kuweka kumbukumbu za wagonjwa
- Kukusanya, kuchambua na kutunza takwimu za utabibu na taarifa za afya
- Kuelimisha jamii kuhusu afya ya msingi
- Kuchambua na kutafsiri takwimu zilizokusanywa katika zahanati ili
kuboresha huduma za afya - Kuandaa bajeti ya matumizi ya kituo
- Kusimamia utendaji wa watumishi walio chini yake na kufanya upasuaji mdogo
- Kushiriki katika kupanga na kutekeleza Huduma za Afya Msingi
- Kushauri na kuhamasisha wananchi kuchangia huduma za Afya za Mfuko wa Afya ya Jamii
- Kuweka kumbukumbu za vifaa na zana za kutolea huduma
- Kuweka kumbukumbu, kuandaa na kutoa taarifa za utekelezaji
- Kufanya kazi nyingine utakazopangiwa na mkuu wako wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake
✅TABIBU MSAIDIZI – NAFASI 3
SIFA ZA KUAJIRIWA
Kuajiriwa wenye Cheti cha Mtihani wa Taifa wa Kidato cha IV ambao wamehitimu Mafunzo ya Miaka Miwili ya Tabibu Wasaidizi (Clinical Assistants Certificate)
KAZI NA MAJUKUMU
- Kutoa huduma za Kinga na Tiba
- Kutambua na kutibu magonjwa ya kawaida
- Kutoa huduma ya Afya ya msingi (Primary Health Care)
- Kuweka kumbukumbu za wagonjwa
- Kukusanya, kuchambua na kutunza takwimu za utabibu na taarifa za afya
- Kuelimisha jamii kuhusu afya ya msingi
- Kuchambua na kutafsiri takwimu zilizokusanywa katika zahanati ili
kuboresha huduma za afya - Kuandaa bajeti ya matumizi ya kituo
- Kusimamia utendaji wa watumishi walio chini yake na kufanya upasuaji mdogo
- Kushiriki katika kupanga na kutekeleza Huduma za Afya Msingi
- Kushauri na kuhamasisha wananchi kuchangia huduma za Afya za Mfuko wa Afya ya Jamii
- Kuweka kumbukumbu za vifaa na zana za kutolea huduma
- Kuweka kumbukumbu, kuandaa na kutoa taarifa za utekelezaji
- Kufanya kazi nyingine utakazopangiwa na mkuu wako wa kazi.zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake
✅AFISA MUUGUZI DARAJA LA II- NAFASI 4
SIFA ZA KUAJIRIWA
Kuajiriwa wenye Shahada ya Uuguzi kutoka Chuo Kikuu kinachotambuliwa na Serikali, waliohitimu mafunzo ya vitendo kazini (Internship) waliosajiliwa na Baraza la Wauguzi na Wakunga Tanzania.
KAZI NA MAJUKUMU
- Kufanya kazi za kiuguzi kwa kuzingatia maadili ya kiuguzi na taratibu zake
- Kufanya kazi za kiuguzi za kuhudumia wateja katika jamii, hospitali na sehemu zote zinapotolewa huduma za afya
- Kusimamia na kuratibu kazi zote za wahudumu wa afya katika sehemu yake ya kazi
- Kukusanya takwimu na kutayarisha taarifa za utendaji wake wa kazi
- Kutoa huduma kwa wagonjwa wodini
- Kutoa ushauri nasaha
- Kutoa huduma za kinga na uzazi wa mpango kwa njia za asili
- Kutoa huduma za uzazi na afya ya mtoto
- Kuelimisha wagonjwa na jamii kuhusu matatizo yao ya kiafya
- Kufuatilia utunzaji wa vitendea kazi katika maeneo yake ya kazi
- Kufanya kazi kwa kushirikiana na wenzake katika kutoa huduma bora kwa wajonjwa
- Kuwafundisha na kuwaongoza wanafunzi na walio chini yake.
- Kuhakikisha kuwa wagonjwa wote unaowahudumia wanapata huduma sahihi na inayokidhi matarajio yao
- Kuwa na lugha nzuri kwa wagonjwa unaowahudumia na wafanyakazi wenzako
- Kuhakikisha kuwa mginjwa unayemhudumia unaelewa shida yake, vipimo vinavyohitajika vimechukuliwa na amepata huduma anayostahili
- Kufanya kazi nyingine utakazopangiwa na mkuu wako wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake
✅AFISA MUUGUZI MSAIDIZI DARAJA LA II – NAFASI 7
SIFA ZA KUAJIRIWA
Kuajiriwa wenye Shahada ya Uuguzi kutoka Chuo Kikuu kinachotambuliwa na Serikali, waliohitimu mafunzo ya vitendo kazini (Internship) waliosajiliwa na Baraza la Wauguzi na Wakunga Tanzania.
KAZI NA MAJUKUMU
- Kufanya kazi za kiuguzi kwa kuzingatia maadili ya kiuguzi na taratibu zake
- Kufanya kazi za kiuguzi za kuhudumia wateja katika jamii, hospitali na sehemu zote zinapotolewa huduma za afya
- Kusimamia na kuratibu kazi zote za wahudumu wa afya katika sehemu
yake ya kazi - Kukusanya takwimu na kutayarisha taarifa za utendaji wake wa kazi
- Kutoa huduma kwa wagonjwa wodini
- Kutoa ushauri nasaha
- Kutoa huduma za kinga na uzazi wa mpango kwa njia za asili
- Kutoa huduma za uzazi na afya ya mtoto
- Kuelimisha wagonjwa na jamii kuhusu matatizo yao ya kiafya
- Kufuatilia utunzaji wa vitendea kazi katika maeneo yake ya kazi
- Kufanya kazi kwa kushirikiana na wenzake katika kutoa huduma bora kwa wajonjwa
- Kuwafundisha na kuwaongoza wanafunzi na walio chini yake.
- Kuhakikisha kuwa wagonjwa wote unaowahudumia wanapata huduma sahihi na inayokidhi matarajio yao
- Kuwa na lugha nzuri kwa wagonjwa unaowahudumia na wafanyakazi wenzako
- Kuhakikisha kuwa mginjwa unayemhudumia unaelewa shida yake, vipimo vinavyohitajika vimechukuliwa na amepata huduma anayostahili
- Kufanya kazi nyingine utakazopangiwa na mkuu wako wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake
✅MUUGUZI DARAJA LA II – NAFASI 10
SIFA ZA KUAJIRIWA
Kuajiriwa wenye cheti cha Uuguzi cha miaka miwili kutoka katika Chuo
kinachotambuliwa na Serikali na kuandikishwa (Enrolled) na Baraza la
Wauguzi na Wakunga Tanzania.
KAZI NA MAJUKUMU
- Kufanya kazi za kiuguzi kwa kuzingatia maadili ya kiuguzi na taratibu zake
- Kufanya kazi za kiuguzi za kuhudumia wateja katika jamii, hospitali na sehemu zote zinapotolewa huduma za afya
- Kusimamia na kuratibu kazi zote za wahudumu wa afya katika sehemu
yake ya kazi - Kukusanya takwimu na kutayarisha taarifa za utendaji wake wa kazi
- Kutoa huduma kwa wagonjwa wodini
- Kutoa ushauri nasaha
- Kutoa huduma za kinga na uzazi wa mpango kwa njia za asili
- Kutoa huduma za uzazi na afya ya mtoto
- Kuelimisha wagonjwa na jamii kuhusu matatizo yao ya kiafya
- Kufuatilia utunzaji wa vitendea kazi katika maeneo yake ya kazi
- Kufanya kazi kwa kushirikiana na wenzake katika kutoa huduma bora kwa wajonjwa
- Kuhakikisha kuwa wagonjwa wote unaowahudumia wanapata huduma sahihi na inayokidhi matarajio yao
- Kuwa na lugha nzuri kwa wagonjwa unaowahudumia na wafanyakazi wenzako
- Kuhakikisha kuwa mgonjwa unayemhudumia unaelewa shida yake, vipimo vinavyohitajika vimechukuliwa na amepata huduma anayostahili
- Kufanya kazi nyingine utakazopangiwa na mkuu wako wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.
✅MTEKNOLOJIA WA AFYA MAABARA DARAJA LA II – NAFASI 3
SIFA ZA KUAJIRIWA
Kuajiriwa wenye Stashahada katika fani ya Uteknolojia wa Maabara kutoka
Chuo kinachotambuliwa na Serikali na ambao wamesajiliwa na Baraza la Maabara Tanzania
KAZI NA MAJUKUMU:
- Kupima sampuli zinazoletwa maabara
- Kuhifadhi sampuli zinazotakiwa kufanyiwa uchunguzi au kupelekwa Maabara za ngazi za juu
- Kufanya kazi za ukaguzi wa maabara, vitendanishi, vifaa, kemikali na
hifadhi ya kemikali - Kuandaa mipango ya kazi za maabara na mahitaji ya vifaa vya maabara katika eneo lake la kazi
- Kuandaa bajeti ya maabara
- Kukadiria mahitaji na kuagiza vifaa au dawa za maabara
- Kufundisha na kusimamia matumizi sahihi ya njia mpya za uchunguzi
- Kuratibu huduma za maabara katika Wilaya au eneo lake la kazi
- Kuandaa sampuli za kudhibiti ubora wa upimaji (Internal quality control).
- Kuweka kumbukumbu za maabara ambazo zimepatikana wakati wa
uchunguzi. - Kufundisha watumishi walio chini yake
- Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake
✅MTEKNOLOJIA WA AFYA MSAIDIZI MAABARA – NAFASI 6
SIFA ZA KUAJIRIWA
Kuajiriwa wenye cheti katika fani ya Maabara kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali na ambao wamesajiliwa na Baraza la Maabara
KAZI NA MAJUKUMU:
- Kupima sampuli zinazoletwa maabara
- Kuhifadhi sampuli zinazotakiwa kufanyiwa uchunguzi au kupelekwa Maabara za ngazi za juu
- Kufanya kazi za ukaguzi wa maabara, vitendanishi, vifaa, kemikali na hifadhi ya kemikali
- Kuandaa mipango ya kazi za maabara na mahitaji ya vifaa vya maabara katika eneo lake la kazi
- Kuandaa bajeti ya maabara
- Kukadiria mahitaji na kuagiza vifaa au dawa za maabara
- Kufundisha na kusimamia matumizi sahihi ya njia mpya za uchunguzi
- Kuratibu huduma za maabara katika Wilaya au eneo lake la kazi
- Kuandaa sampuli za kudhibiti ubora wa upimaji (Internal quality control).
- Kuweka kumbukumbu za maabara ambazo zimepatikana wakati wa
uchunguzi. - Kufundisha watumishi walio chini yake
- Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake
✅MTEKNOLOJIA WA AFYA DAWA – NAFASI 3
SIFA ZA KUAJIRIWA
Kuajiriwa wenye Stashahada katika fani ya Uteknolojia wa Dawa kutoka Chuo
kinachotambuliwa na Serikali na ambao wamesajiliwa na Baraza la Famasia Tanzania
KAZI NA MAJUKUMU:
- Kuainisha, kuandaa na kuagiza mahitaji ya dawa na vifaa tiba katika eneo lake la kazi
- Kugawa dawa na vifaa tiba kwa wagonjwa na watumishi
- Kuchanganya dawa
- Kuhifadhi dawa na vifaa tiba
- Kuelimisha jamii kuhusu matumizi sahihi ya dawa
- Kukagua dawa, vifaa tiba kemikali, vitendanishi na vipodozi katika eneo lake la kazi
- Kutoa taarifa juu ya madhara yatokanayo na matumizi ya dawa
- Kuratibu kazi za kamati ya dawa ya Kituo
- Kuandaa taarifa ya matumizi ya dawa na vifaa tiba
- Kufanya uchunguzi wa ubora wa dawa, vifaa tiba kemikali, vitendanishi na vipodozi
- Kufanya kaguzi mbalimbali katika sehemu zinazohifadhi dawa
- Kusimamia utendaji wa kazi watumishi walio chnini yake
- Kutunza kumbukumbu za dawa na vifaa tiba
- Kusimamia na kuratibu matumizi bora ya dawa
- Kuandaa taarifa ya matumizi ya dawa na vifaa tiba
- Kutengeneza dawa
- Kuhakiki ubora wa dawa
- Kuelimisha jamii pamoja na watumishi wa sekta ya afya juu ya
matumizi sahihi ya dawa - Kupanga mikakati ya kuboresha upatikanaji wa dawa na vifaa tiba
- Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake
✅MTEKNOLOJIA MSAIDIZI WA DAWA – NAFASI 6
SIFA ZA KUAJIRIWA
Kuajiriwa wenye cheti katika fani ya Dawa kutoka Chuo kinachotambuliwa na
Serikali na ambao wamesajiliwa na Baraza la Famasia
KAZI NA MAJUKUMU:
- Kuandaa mahitaji na matumizi ya dawa na vifaa tiba
- Kuagiza, kuhifadhi na kugawa dawa na vifaa tiba katika eneo lake la kazi
- Kuandaa taarifa ya matumizi ya dawa na vifaa tiba
- Kutunza kumbukumbu za dawa na vifaa tiba
- Kutathmini mahitaji ya dawa na vifaa tiba katika eneolake la kazi
- Kuelimisha jamii pamoja na watumishi wa sekta ya afya juu ya matumizi sahihi ya dawa katika sehemu yake ya kazi
- Kuratibu matumizi sahihi ya dawa na vifaa tiba katika eneo lake la kazi
- Kuelimisha jamii na watumishi wenzake juu ya matumizi sahihi ya dawa.
- Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake zinazohusiana na elimu,
uzoefu na ujuzi wake
✅MSAIDIZI WA AFYA – NAFASI 10
SIFA ZA KUAJIRIWA
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne waliopata mafunzo ya mwaka mmoja katika fani ya afya.
KAZI NA MAJUKUMU
- Kufanya usafi wa vifaa vya kazi, usafi wa wodi na mazingira
- Kusaidia wagonjwa wenye ulemavu na wasiojiweza katika kwenda haja
(kubwa na ndogo) na kuoga - Kumsaidia kumlisha mgonjwa asiyejiweza
- Kuchukua nguo za mgonjwa kuzipeleka kwenda kufuliwa
- Kuchukua sampuli za mgonjwa kwa ajili ya vipimo vya maabara na
kufuatilia majibu - Kutayarisha vifaa kwa ajili ya kusafisha na kufunga majeraha
- Kufuatilia mahitaji ya dawa kwa wagonjwa kutoka hifadhi ya dawa
- Kufanya shughuli nyingine atakazopangiwa na kiongozi wake wa kazi.
SIFA ZA JUMLA KWA WAOMBAJI
- Awe ni Mtanzania
- Asiwe mwajiriwa wa serikali
- Awe na nakala ya vyeti vya Sekondari na Taaluma na vinavyotambuliwa na Serikali na kwa wale wenye leseni, leseni hai inayotambuliwa na mamlaka husika na kuwa tayari kuwasilisha nakala halisi wakati wa usaili.
- Aambatanishe nakala wasifu wake (CV), cheti cha kuzaliwa
Kazi
Maombi yote yatumwe kwa:
KATIBU WA AFYA JIMBO
JIMBO KUU KATOLIKI LA MBEYA
S. L.P 179
MBEYA
Barua pepe: jkalindu@yahoo.com
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 20/12/2024 saa 5.59 usiku

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Tags: NAFASI 60 za Kazi Kada ya Afya Jimbo Kuu Katoliki La Mbeya