NAFASI 4 za Madereva Ruangwa District Council
- Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari;
- Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi;
- Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari;
- Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali;
- Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari;
- Kufanya usafi wa gari; na
- Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake.
POST: DEREVA DARAJA II(RE-ADVERTISED) – 4 POST Employer: Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa More Details | 2024-10-27 Login to Apply |
