NAFASI 200 za Madereva Qwihaya General Enterprises Ltd November 2024
NAFASI 200 za Madereva Qwihaya General Enterprises Ltd November 2024
Qwihaya General Enterprises Company Limited ni kampuni inayohusika na uzalishaji na usambazaji wa nguzo za umeme na Makaa ya Mawe hapa nchini.
Kampuni hiyo unatangaza nafasi 200 za Madereva
SIFA ZA MWOMBAJI
- Cheti xha Kidato cha Nne na Kuendelea
- Cheti cha NIT Au VETA
- Leseni ya Udereva ya Kuendesha Magari Makubwa
- Umri Kuanzia Miaka 25 hadi 60
- Uzoefu Kuanzia Miaka Mitano wa Kuendesha Gari Kubwa
VIAMBATANISHO
- Barua ya Maombi ya Kazi
- Wasifu wa Muombaji (CV)
- Barua Serikali za Mtaa Unaoishi
- Barua za Wadhamini watatu (3) wanao fanya kazi Serikalini na Vitambulisho vyao vya Kazi
- Picha za Muombaji (Passport Size).
Maombi yote yatumwe kwenye ofisi za Kampuni au email
humanresource@qwihaya.co.tz
Mkoa wa Iringa 0742 128004
Mkoa wa Mwanza 0759777905
Sumbawanga 0744 66 68 76
Songea 0716666841
Zingatia – Muhimu: Watakaochaguliwa watapigiwa Simu kwa mchakato zaidi
Epuka kutapeliwa fedha au kitu chochote cha thamani kwaajili ya upendeleo wa kupata ajira hizi.
Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 25/11/2024

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Tags: NAFASI 200 za Madereva Qwihaya General Enterprises Ltd November 2024