NAFASI 15 za Kazi International School of Tanganyika (IST)
NAFASI 15 za Kazi International School of Tanganyika (IST)
International School of Tanganyika (IST) ni shule ya kutwa inayojitegemea, ya kibinafsi na isiyo ya faida iliyoko kwenye kampasi mbili za Dar es Salaam, Tanzania.
Shule hiyo inayo furaha kutangaza nafasi 15 za kazi kama ilivyoainishwa katika Tangazo hili.
Angalia fursa zilizopo hapa chini, furahia kujiunga na timu yetu iliyojitolea ili kuleta matokeo ya kuridhisha katika elimu.
Nafasi 15 za Kazi zilizotangazwa na IST.
- DP Biology/MYP Science
- MS Learning Support
- Activities & Athletics Director
- Secondary Vice Principal
- MYP Math Teacher
- IB Diploma Coordinator
- Student Services Coordinator
- DP Physics/MYP Science
- MYP English Language Acquisition (ELA)
- DP Business Management/MYP Individuals and Societies
- DP and MYP English Language and Literature
- DP Psychology and MYP Individuals & Societies
- MYP Design
- MYP Individuals & Societies
- High School Counselor
Ili kuwasilisha maombi yako, tafadhali link ilyotolewa na ukamilishe mchakato wa kutuma maombi mtandaoni.
