NACTVET Taarifa Muhimu kuhusu Matokeo ya Uhakiki wa Wanafunzi kwa Awamu ya Pili

Filed in Education by on 04/10/2024 0 Comments
NACTVET Taarifa Muhimu kuhusu Matokeo ya Uhakiki wa Wanafunzi kwa Awamu ya Pili

NACTVET Taarifa Muhimu kuhusu Matokeo ya Uhakiki wa Wanafunzi kwa Awamu ya Pili 

Taarifa kwa Umma Kuhusu Kuchelewa Kutoka kwa Matokeo ya Uhakiki wa Wanafunzi kwa awamu ya Pili Kutoka NACTVET.
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET
linapenda kutoa taarifa kwa umma kwamba, kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wa Baraza matokeo ya uhakiki wa wanafunzi kwa awamu ya pili yaliyotarajiwa kutoka  tarehe 2 Oktoba, 2024 yatatoka tarehe 6 Oktoba 2024.
Baraza hilo linaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza kutokana na 
mabadiliko haya. 

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!