MSIMAMO wa Kundi la Tanzania Kufuzu AFCON 2025

Msimamo wa Kundi la Taifa Stars Kufuzu AFCON 2025, Msimamo Kundi H la Tanzania Kufuzu AFCON 2025,Msimamo wa Kundi H Kufuzu AFCON 2025.
Timu ya Taifa ya Tanzania ipo Kundi H pamoja na timu za DR Congo, Guinea, na Ethiopia kuwania kufuzu AFCON 2025.
Tanzania kwenye Kundi hili ipo pamoja na mataifa matatu ambayo yanashikilia nafasi tofauti katika viwango vya soka vya Dunia vya FIFA.
Hapa chini tumekuwekea Msimamo wa Kundi H la Tanzania Kufuzu AFCON 2025 hadi leo tarehe 19 November 2024.

MSIMAMO wa Kundi la Tanzania Kufuzu AFCON 2025
