MFANO wa Barua ya Kuomba Ajira Jeshi la Uhamiaji
MFANO wa Barua ya Kuomba Ajira Jeshi la Uhamiaji
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji kwa Mamlaka aliyonayo chini ya Kanuni Namba 11(1) ya Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za Mwaka 2018, ametangaza nafasi za Ajira Mpya za Askari wa Uhamiaji kwa Vijana wa Kitanzania wenye sifa zifuatazo zilizoainishwa kwenye Tangazo hapa chini;
Moja ya Nyaraka ambazo Mwombaji anatapaswa kuambatanisha (Kuupload) kwenye mfumo wa Ajira ni barua ambayo unaiandika Kwa Mkono.
Mwisho wa kufanya maombi ni tarehe 13 Disemba, 2024.
Kuelekea hatua hiyo ya Kutuma Maombi, Nijuze Habari imekuwekea hapa Sample ya Barua ya Maombi ya Ajira hizo kwenye PDF hapa chini;
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD SAMPLE YA BARUA YA KUOMBA AJIRA JESHI LA UHAMIAJI
Soma hapa Mwongozo wa Kuomba Ajira Jeshi la Uhamiaji, Kujisajili na Kutuma Maombi
